Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Ulaji wa mafuta kati ya hizo gari tofauti yake iko vipi?
 
Gari engine
Tafuta yenye engine 1jz au 2jz....
hayo majina ni mbwebwe tu
by kijana.
Hilo jiko la 1JZ kwa uhakika limo kwenye Brevis tu hapo, Altezza na GX110 kwa bahati sana ni 3s au 1G kwa sana.
 
Vipi kuhusu acceleration na stability katika barabara
Acceleration ni chap kwa ukali, juzi nilikuwa nasukuma mnyama wa best yangu. Aisee that thing pulls up faster!

Halafu ni nzito, you feel uko kwa gari hata at high speed. Tofauti kabisa na jamii ya corrolla ama 1.8L cars nyingi za Toyota.
 
Ivi prado tx new model ipi engine nzuri?
2015 model, nimewah kuiendesha sana, inatumia mafuta kidogo sana ila ni Ngumu kwenye upande wa Shokapu.. hata upige shimu mara nyingi, Bado inabaki imara tu.
 
2015 model, nimewah kuiendesha sana, inatumia mafuta kidogo sana ila ni Ngumu kwenye upande wa Shokapu.. hata upige shimu mara nyingi, Bado inabaki imara tu.
Gari kubwa kama ile toyota wameiwekea engine ya 2700cc,daah iko undepowered kinyama.
 
Hii Camry uso mrefu sijawahi ipendaga kabisa. Front view imekaa kishambenga sana kama Riyama Ally [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kule Nigeria ni maarufu kwa jina la Camry'big for nothing'.,hahah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…