Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brevis ni gari kimeo sana,ukizitazama na ukiendesha ikiwa mpya ziko bomba kweli kweli lakini zinasumbua sana spare za hapo nje nje ya engine yake,yani from no tu inaweza pasua radiator,mala pump ya maji,sometimes na upya wake unaweza shangaa tu mshale wa joto uko juu na inaunguza kabisa gasket ilihali maji ya kupooza engine yamo..yani gari fulani hivi ya ajabu sana, binafsi hata nikitangaziwa milion mbili na ina namba D kabisa kabisa siwezi kununua
It's okay lakini hiyo Brevis hata ukiagiza ina matatizo hayo..mi ni mtu wa gari sanaaaa naelewa hizi kitu na shida zakeUshauri maana usinunue gari inayouzwa na mtu mweusi agiza moja kwa moja anapouza jua ina tatizo au kuna tatizo linakuja kutokea
It's okay lakini hiyo Brevis hata ukiagiza ina matatizo hayo..mi ni mtu wa gari sanaaaa naelewa hizi kitu na shida zake
Ok sasa ni shida basi tuhamie kununua nissani wakati mafundi wa nissan hamna
[emoji1787][emoji1787] kwa kweliBrevis ni mke wa Boss matumizi makubwa na haitaki shida.
[emoji1787][emoji1787] kwa kweli
Usikute za wizi hizo ukaishia Sege-dansi ukose kujifukiza/Nyungu Season 3
Point ya kufungia mwezi MeiMbona kama hueleweki? kweni tunabishana? kitu kikiwekwa humu si lazima mtu anategemea watu watasema kitu? haiwezekani uonyeshe kitu afu upate kile tu kinachofurahisha moyo wako...tunaongea kwa uzoefu juu ya magari,yamkini uulize tu kitu bila mihemko ili usaidiwe. kuna gari zinawekwaga humu zingine unazijua mpaka ziliko pita ni mikono mingapi na wakati mwingine hata kwangu imewahi kupita japo si kwa kuvuruga biashara ya mtu isipokua kuwasaidia watu maana mwenye ame post ni kama anahitaji kujua jambo na si kufanya biashara isiyo na chalange
Swali zuri sana mkuu...coz brevis tatizo ingine tu ila muonekano wa nje imekaa poa sana..Hivi haiwezekani kufunga engine ya 1G-FE katika hio gari?