Brevis Bei nafuu. WHY?

Brevis ni gari kimeo sana,ukizitazama na ukiendesha ikiwa mpya ziko bomba kweli kweli lakini zinasumbua sana spare za hapo nje nje ya engine yake,yani from no tu inaweza pasua radiator,mala pump ya maji,sometimes na upya wake unaweza shangaa tu mshale wa joto uko juu na inaunguza kabisa gasket ilihali maji ya kupooza engine yamo..yani gari fulani hivi ya ajabu sana, binafsi hata nikitangaziwa milion mbili na ina namba D kabisa kabisa siwezi kununua
 

Ushauri maana usinunue gari inayouzwa na mtu mweusi agiza moja kwa moja anapouza jua ina tatizo au kuna tatizo linakuja kutokea
 
Mbona kama hueleweki? kweni tunabishana? kitu kikiwekwa humu si lazima mtu anategemea watu watasema kitu? haiwezekani uonyeshe kitu afu upate kile tu kinachofurahisha moyo wako...tunaongea kwa uzoefu juu ya magari,yamkini uulize tu kitu bila mihemko ili usaidiwe. kuna gari zinawekwaga humu zingine unazijua mpaka ziliko pita ni mikono mingapi na wakati mwingine hata kwangu imewahi kupita japo si kwa kuvuruga biashara ya mtu isipokua kuwasaidia watu maana mwenye ame post ni kama anahitaji kujua jambo na si kufanya biashara isiyo na chalange
Ok sasa ni shida basi tuhamie kununua nissani wakati mafundi wa nissan hamna
 
Point ya kufungia mwezi Mei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…