Brevis vs Mark X G100

Brevis vs Mark X G100

THE REPORT

Senior Member
Joined
Jan 13, 2021
Posts
167
Reaction score
203
Habari za wakati huu wakuu, poleni kwa majukumu na misiba tunayopitia kama Taifa.

Niende moja kwa Moja kwenye maada yangu, ninataka kuuza Baby walker yangu ninunue gari nyingine yenye uwezo wa kupiga mzigo kwa muda mrefu! Namaanisha 2000+ cc ikiwa kama Seedan au Saloon. Sasa nimepitia kwenye page za makampuni ya kuuza magari nimejikuta navutiwa kumiliki kati ya Brevis au Mark X G100 na sio hizo crown zenu ..!

Nooo nimependa Body ya Mark x au Brevis sasa kama sijajitosa nisaidieni wazo niingie mlango upi ??

Brevis au Mark x?

Naomba kuwasilisha!
 
Chukua Toyota Cresta GX100.

Hii ndio best saloon car kuanzia uimara wa body,injini na comfortability.

Hii ni Lulu iliyodharaurika kwa mkumbo wa kuitwa jini lakini Ina fuel consumption nzuri, ndio saloon inayohimili barabara zote bila shida.
 
Back
Top Bottom