BREVIS VVTI

hansunique

New Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Habari wakuu

Nahitaji kujua katika hizi gari aina ya Brevis, engine zake zote ni VVTI au kuna baadhi ya engine sio VVTI...na ukiwa na brevis VVTI ulaji wake wa mafuta ni sawa na brevis ya kawaida ambayo engine yake sio VVTI?

Nawasilisha
 
Kuna watu humu wanaiita jini mafuta, don't try that at home[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…