Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Viongozi wa Mataifa makubwa Duniani wakutana Nchini urusi katika mji wa Kazan.
BRICKS ilianzishwa kwa lengo la kuvunja mnyororo wa kinyonyaji wa nchi za magharibi zikiongozwa na USA.
Malengo ni mengi lakini kwa kuanzia ni biashara baina ya nchi wanachama, matumizi ya mfumo wa malipo wa kimataifa ambao ni tofauti na ule wa nchi za magharibi (SWIFT), kuachana na matumizi ya sarafu ya Marekani katika miamala ya kimataifa, kuanzishwa kwa New development Bank itakayokuwa ina sapoti miradi tofauti na WB na IMF na mengine mengi.
Vyombo vya habari vya nchi za magharibi vimeripoti mkutano huu kwa wivu mkubwa sana na kuona kama RUSSIA ana lengo la kuangusha ule utawala wa muda mrefu wa marekani na ulaya katika masuala mbalimbali ya kiuchumi , kijeshi na n.k hapa duniani ( New world order)
Nini mtazamo wako ndugu mwana jamii forum kuhusu mkutano huu ulioanza tangu 22.10.2024 Hadi 24.10.2024