Bridal Shower: Honoring Eng. Glory Ndirimbi

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
Wakina Mama wanaofanya kazi TANROADS waungana na Mfanyakazi mwenzao Eng. Glory Ndirimbi katika hafla yake ya Bridal Shower iliyofanyika Coz Cafe tarehe 25 Juni 2023 Dar es Salaam.

Your browser is not able to display this video.

 
Bridal shower kwa kiswahili ndio nini? Amependeza wakubwa wanafaidi.
 
Manshallahhh!!!Mishangazi ya kwenda kiukweli nimeipenda mnoo!!!na kwa kuwa fitna kwangu mwiko,,nawapa Maua Yao!!!,,πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…