A adinag Member Joined May 13, 2014 Posts 87 Reaction score 11 May 22, 2014 #1 habari zenu wakubwa. Wanaosoma bridging course na kuhitimu wanaomba kujiunga na degree kwa njia ipi!? Hii ya TCU au kutuma moja kwa moja maombi chuoni!?
habari zenu wakubwa. Wanaosoma bridging course na kuhitimu wanaomba kujiunga na degree kwa njia ipi!? Hii ya TCU au kutuma moja kwa moja maombi chuoni!?
zugimlole JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,078 Reaction score 1,352 May 22, 2014 #2 Jipange hata haujaeleweka mkubwa
A adinag Member Joined May 13, 2014 Posts 87 Reaction score 11 May 22, 2014 Thread starter #3 zugimlole said: Jipange hata haujaeleweka mkubwa Click to expand... samahani nini hakijaeleweka!?