Brief Report on Tanzania from Dutch Bank (Contrasted)

Hizo strength, nataka kukubaliana nazo, nataka kuona kuwa haziko biased, nataka kufikiri inawezekana hawa jamaa kwa namna fulani " MOST LIKELY" wako sawa ... But my conscience signal a reasonable doubt!!! ...Najiuliza report imelenga kushinda nini? .. sina shaka nitaelimishwa!

Naagalia hizo weakness, Naamua kukubaliana nazo. Kama nitakuwa sahihi nasonga mbele nachukua effects za weakness zote nazipambanisha na strength namba mbili .... naona kama stable neutralization and equation moving to right to form a neutral homogeneous state ... kwamba vimejimaliza vyenyewe!! Hawa walifunga magoli mawili kipindi cha kwanza na wenzao wakayarudisha kipindi cha pili!

Na nivipi hiyo itaacha a stable political situation? Wakati kati ya jeshi la polisi na jeshi la ulinzi wanasambaa mtaani ku stabilise?
 
Hii mikopo ya wahisani, ati Bilateral na Multilateral, ukiona watu wanakazana kukukopesha ujue collateral yako ni kubwa na haina risk....! Gas, madini, tembo na Twiga.
 
gfsonwin , nimekuelewa kuwa, Kama Taifa ingefika mahali tukerwe na kupewa mikopo kwa namna fulani isiyofuta wala kutekeza kanuni muhimu za Kifedha katika kukopeshana. mfano?.. kupata msamaria ambaye yeye hukopesha hata kama mkopaji anafanyia mzahan alichokopa.

Kama ni hivyo hilo ndilo lilinisukuma kuhoji, hii ripoti iankusudunia nini haswa.?Na kama ni kweli Taifa linalelewa kwenye kufanyia mchezo fedha lilizokopeshwa na wakopeshaji wasione hilo ni tatizo, sindio maana hata wanapata msukumo na dhubutu kuja na ripoti hiyo?

Kama unafurahia msururu wa mikopo isiyohoji wala kujali ulivyoitumia na kuirejesha ... VIPI ISIPENDEZWE NA HIYO REPOTI?
 
Last edited by a moderator:
Azimio Jipya nikionacho mm kwenye hii serikali yetu ni watu kutokujali maslah ya nchi, kitu ambacho wakopeshaji wanakichukuli kma faida manake wanajua mwisho wa siku isipolipwa watafidiwa fukwe na bandari.

sitashangaa siku tukiambiwa labda mkoa wa tanga sasa unamilikiwa na benk ya ulaya simply wasababu ndicho walicho morgage siku ya kuomba mkopo.
 
Last edited by a moderator:
aaaaaaaaah,mimi nilijua wanataka kutuambia wanarudisha vipi fedha zilizowekezwa na MAFISADI kwenye mibenki yao
 

Hapo mkulu umenena. planners wetu ni vihiyo ni hakuna mfano. binafsi naona kama tunarudi nyuma kuhusu moro road, kwani mwaka 2000 kwa nini hawakuona na leo hii wameona nini? ujenzi utakaofanyika bado utakidhi miaka 10 baadaye watabomoa tena. gharama wanazotumia kuharibu na kujenga upya zingetosha kujenga barabara ya njia 6 elsewhere huku wakibakiza moro road. yaani wote huu ni ukilaza, hamna kitu kingine tena. thanks.
 
Mi nshachoka na masiasa ya nchi hii. Niko busy na economic growth ya familia yangu.... ambayo itahuishwa na stability ya head of the family.

Lakini sasa si hata economic growth yako inategemea economic growth yetu? Yajue mazingira ya nchi kwanza. #HabariNdioHiyo
 
Wee ni hedi au tail wa family??

Mie ni makalio ya family


Opps, narudi chit chat

Mi nshachoka na masiasa ya nchi hii. Niko busy na economic growth ya familia yangu.... ambayo itahuishwa na stability ya head of the family.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…