Brig.Gen.Simba Waziri Simba, Shujaa wa kikosi vita vya Kagera, Mtoto wa Kariakoo

Brig.Gen.Simba Waziri Simba, Shujaa wa kikosi vita vya Kagera, Mtoto wa Kariakoo

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
😄😄

Imenikumbusha aka Mti Mkavu

Mayunga 😂😂😂🔥


..Lt.Gen.Silas Mayunga alikuwa Brigedia, na Mkuu wa Brigedi wakati wa vita.

..lakini chini ya hao Wakuu wa Brigedi kuliwa na wakuu wa vikosi na wengi walikuwa na vyeo vya Luteni Kanali.

..baadhi ya hao wakuu wa vikosi ni Simba Waziri Simba, Gideon Sayore, Ambrose Bayeke, Januari Kisanko, Lupembe, Ben Msuya, na wengine.
 
Ungedadavua kidogo ushujaa wake ulikuwa upi

..aliongoza mojawapo ya vikosi vya Jwtz vilivyopigana vita vya Kagera na Uganda.

..wanajeshi wetu walikomboa ardhi yetu iliyokuwa imetekwa na majeshi ya Iddi Amin wa Uganda.

..wanajeshi wetu pia waliingia Uganda na kumtoa Iddi Amin madarakani, na kuwezesha kusimikwa kwa serikali ya mpito ya kiraia ya Waganda.
 
Back
Top Bottom