ππ
Imenikumbusha aka Mti Mkavu
Mayunga ππππ₯
Wapewe maua yao.Huyu ni mmoja wa wakuu wa vikosi vilivyopigana vita vya Kagera.
Kwa miaka mingi walikuwa wakitaka wakuu wa brigedi zilizopigana vita vya Kagera, lakini ndani ya brigedi hizo kulikuwa na vikosi.
Simba Waziri Simba mmoja wapo wa makamanda wa vikosi ktk vita hivyo.
Ungedadavua kidogo ushujaa wake ulikuwa upi