Brigadier Isaac Malyamungu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
THE butcher of uganda. brigadier isaac maliyamungu, chief of operations in the ugandan army, responsible for the brutal killings of thousands of ugandans during the 1971 to 1979 nightmare in the country. maliyamungu was the most trusted lieutenant of dictator idi amin. carried out most of the 'vip' treatments given to suspects, on the orders of his boss. born in zaire, he died in sudan in february,, 1984.

 
hahahahahahahahaha, juzi kati nilisikia waganda wakimuenzi Id Amini Dadaa, wamuenzi na huyu, ni shujaa aliyesahaulika.
 
Leo umeamka na idd Amin
 
Nakuomba, nakuomba niko chini ya miguu yako. Tafadhali sana usipange kuamka na mimi hata siku moja, ninaweza kupata ugonjwa wa moyo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawashangaa wanaoshangaa Id Amin Kuenziwa kwani ana tofauti kubwa sana na Jiwe?
 
hahahahahahahahaha, juzi kati nilisikia waganda wakimuenzi Id Amini Dadaa, wamuenzi na huyu, ni shujaa aliyesahaulika.


..Waganda kuanza "kumuenzi" Idi Amin Dada ni kielelezo cha jinsi walivyomchoka Yoweri Kaguta Museveni.
 
Nasikia Luteni Kanali Maliyamumgu alifia congo na sababu ya kifo ni kujiuwa kwa sumu kali
 
Nilikutana na mtoto mmoja wa General Mustafa Adrissi. Anamchukia Nyerere sana ila haonyeshi kuwachukia Watanzania; ni kati ya marafiki zake kwenye kubeba box. Anasema familia yao ilikuwa na watoto zaidi ya 60, kwa hiyo hajui ndugu zake wengine wako wapi, yeye siku hizi ni mbeba box tu hapo Wichita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…