Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Yaani hata sijui hawa watu wanawaza nini!! mnauwa uchumi wa nchi wanamaliza sector binafsi taratibu wakidhani wanaokoa pesa wakati ndio wanauwa kila kitu. Utajiri unaletwa na watu sio serikali.Acheni sekta binafsi inufaike aisee. Kila kitu mnataka mfanye nyie tu. Mnaingiza hela huku mnatolea kule inaenda BOT, faida yote inarudi serikalini. Kila watu wafanye mambo majeshi yabobee kwenye masuala yahusihanayo na hayo. Wananchi wafanye biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe umfikie Brigedia.Msiwasingizie wazabuni kuwa wanakwamisha miradi wakati nyie ndio hamuwalipi kwa wakati. Mnapoletewa mchanga, vifusi, matofali au vifaa vingine vya ujenzi hamlipi huku mkitaka mzabuni aendelee kuleta vifaa kwa gharama zake na hata mkija kulipa mnatoa fedha kidogokidogo!
Kitu hicho kimewafanya hata wakandarasi wa Kichina kuiga tabia hiyo mbaya ambayo inasababisha wazabuni wa Kitanzania wengi kufilisika kwani wanafanya kazi katika mazingira magumu sana
I hope na huko watakako kuwa wananunia votu kwa ajili ya madika yao ya jumla iwe vieandani aunpopote wtakuwa wakiwalipa kwa wakati vinginevyo ucheleweshaji utakuwa uko pale paleHao SUMA wao ndo wanachelewesha hela za hao wazabuni, kukwamnishana wanakuanzisha wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app