Bright, Independent & Good looking TZ sisters

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Strange wengi wao wanafanyakazi za Public relations za ma Benki na other sectors na of course wengi tunaowaona ni ma grds..at least with post grads to say the least

Listi yangu nadhani number 1 atakuwa ni MWAMVITA in terms of looks and brains maana naye ana M.A ya IR, lakini yule RUPIA wa SEACOM naye si mbaya and she got nice lips, then kuna Mwamvita Makamba...comes across as way too aggressive lakini she could be a challenge

All in all they are making us proud..kwamba si uzuri tuu lakini na mengineyo..

mwamvita Makamba akiwa amevalia Jimmy Choos..


Huyu yuko TANZANIA POSTAL BANK and i wasnt impressed naye kabisa..anahitaji more exposure

And please dont get me started na yule mwingine wa CRDB...
 
Yule Tabasamu ngongoseko....aliye ondoka DSTV?Kuna mwingine dada mmoja ni PR wa Kempisky alikuwa ngurudoto they are looking good kwa kweli.
 
-bwa ha ha ha ha ha lazima ufagilie la sivyo kakake atakutimua kule kwenye blog yake......

hili gobore ndio chaguo lako?
 
umbea hakuna hoja ya kujadili hapo.
 

Jimmy Choos za wapi hizo wewe...ataziweza Jimmy Choos huyo? Hizo ni za Payless bana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…