Brighton Moyo aliyeigiza kifo na kufufuliwa afariki dunia kweli

sam leon

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
890
Reaction score
1,191
Brighton Moyo, raia wa zimbabwe aliekuwa akiishi Afrika Kusini alieigiza kufa na kufufuliwa na Mtumishi Alph Lukau.

Safari hii amefariki kweli na kusikwa na sio maigizo. Inasemekana alikua akiishi na VVU pia figo na mapafu yake vilishindwa kufanya kazi.

Source: Swahili Times

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha za msiba wake zipo wapi, cheti cha kifo kiko wapi. Basi tuone kaburi lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…