Bring back our Pluijm...

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Huyo kocha 'mpya' wa timu yetu(Yanga) ni bomu,hawezi kuwa anatuweka roho juu juu hivi sisi mashabiki.
Sijui kwanini Viongozi walimtimua Hans.Watuondolee mtu wao sisi,arudi mtu wetu.
[HASHTAG]#Lwandaminamustgo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringbackourPluijm[/HASHTAG]
 
HVP yupo Singida United sasa sijui kama atakubali kurudi Yanga yetu tena
 
HVP yupo Singida United sasa sijui kama atakubali kurudi Yanga yetu tena
Huyu mzee alikuwa ana nyota ya ubingwa,ila huyu wa sasa ni kigundu mtupu.
 
Mwacheni Hans si mulisema hajui. Tumeanza kuona matunda akiwa na singida yetu.
 
Yes, babu arudi kwa matokeo haya bi Hindu fc tutawakoma
 
Ilinishangaza sana na sijaelewa hadi leo sababu iliyomwondoa kocha Plujm na kusajiriwa Bosi Lwandamila. Wakati Yanga ilikuwa inafanya vizuri tu.
Sijaelewa hadi leo.
 
Yaani mpira wetu wa kibongo haueleweki. Hans alikuwa mtu mwenye future huyu wa sasa cjui walimpendea nini hata.
 
Mm nahisi na impact ya Mwenyekiti Manji imechangia kwa kiasi Fulani.Sasa hivi Mishahara ya wachezaji ni Shida.Kuna wanaolipwa kuna wasiolipwa.Tatizo ni zaidi ya kocha.Kuna kitu kipo under the Carpet.Naomba niishie hapo kwa leo
 
Tena arudishwe fasta tumechoka kuchonga madroo kama mafundi selemara
 
Tatizo lilianza kwa kumweka gundu Jerry Muro asiye na staha wala maadili klabuni! Huu mwaka wa shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…