British airways yasitisha safari zake tanzania

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,437
Reaction score
4,618
[h=3]BRITISH AIRWAYS YASITISHA SAFARI ZA DA ES SALAAM[/h]


Baada ya miongo minne ya kutoa huduma nchini Tanzania, hatimaye shirika la ndege la British Airways limeamua kusitisha safari zake za kuja nchini kwa madai kuwa ilikuwa ikipata hasara.


Maelezo kutoka kwa shirika hilo yalisema, “”Dar es Salaam was not performing well from a commercial perspective so we have taken the decision to suspend the route.”

Kwa mujibu wa maelezo hayo, abiria waliokuwa wamebook kusafiri kabla ya March 31 watarudishiwa fedha zao ama kuhamishiwa kwenye ndege zinazoishia Nairobi, Entebbe ama Lusaka.

Uamuzi huo unadaiwa kuwa utaathiri uchumi wa Tanzania kwa namna nyingi ikiwa pamoja na kupungua kwa watalii kutoka nchini Uingereza na mambo mengine
 
Wezi hao,bei zao ziko juu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…