British Gas staff in bill fix probe

Abdulhalim

Platinum Member
Joined
Jul 20, 2007
Posts
17,215
Reaction score
3,076
Majuzi tu hapa tumeona Mh. Mbunge fulani akihusishwa na kukwiba maji kwa kujiunganishia kinyemela. Na pia majuzi tu hapa kumekuwa na habari kuhusu Muhammad Ali kuwa uchunguzi wa vinasaba, DNA kubaini kuwa ana asili ya Ireland. Sasa kutokana na kadhia inayofuata huenda tukichunguza vinasaba vya hawa 'vishoka' wa Leicester huenda tukabaini mahusiano na 'waswahili' wa pwani ya Afrika Mashariki. ..Just my thoughts tu wazee, full stori inafuata:

 

Kaazi kweli kweli, yaani wanakwiba wazi wazi. Hizo misconduct nafikiri bongo ni mwendo mdundo na ndo dili la mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…