British Lord ameongea ukweli

British Lord ameongea ukweli

Habari Jf,
Leo katika pita pita zangu mitandaoni nmekutana na video moja mpaka nikashanga maana sikuwa kujua vitu vyote hivi kabla.

Naona watu wanaanza kuweka wazi ukweli wao.

Mda ni muhimu kujua kila kitu.


View: https://m.youtube.com/watch?v=14si4mDQcVM

Hili ndo taifa la mungu. Kweli tulipigwa sana na vitu vya kupangwa.

Taifa teule la wapumbavu

Nshaanza kuwa na wasiwasi na hizi dini, maana sio kwa nnachokiona na kukusikia
 
Back
Top Bottom