Habari Jf,
Leo katika pita pita zangu mitandaoni nmekutana na video moja mpaka nikashanga maana sikuwa kujua vitu vyote hivi kabla.
Naona watu wanaanza kuweka wazi ukweli wao.
Mda ni muhimu kujua kila kitu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=14si4mDQcVM
Hili ndo taifa la mungu. Kweli tulipigwa sana na vitu vya kupangwa.Habari Jf,
Leo katika pita pita zangu mitandaoni nmekutana na video moja mpaka nikashanga maana sikuwa kujua vitu vyote hivi kabla.
Naona watu wanaanza kuweka wazi ukweli wao.
Mda ni muhimu kujua kila kitu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=14si4mDQcVM
Wachaaa wee mashallah!Hili ndo taifa la mungu. Kweli tulipigwa sana na vitu vya kupangwa.
Taifa teule la wapumbavu
Nshaanza kuwa na wasiwasi na hizi dini, maana sio kwa nnachokiona na kukusikia