British Overseas Military Administration kifupi BOMA

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,340
Reaction score
1,832
Kuna maneno mengi yaliyotoholewa kutoka lugha nyingine na kuwa ya Kiswahili, machache ninayoyakumbuka ni boma, waswahili tukaita bomani.

Neno hili lilitokana na ofisi za kiutawala za wakoloni wa kiingereza katika maeneo waliokuwa wanayatawala "British Overseas Military Administration" kifupi BOMA.

Eneo liliko Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga wakati wa ukoloni kulikuwa na ghala la silaha yakiwemo mabomu, wenyewe wakaita "Bomb Area", waswahili wakaita Bombo Eria.

Carrier Cop waswahili wakaita Kariakoo.

Ongeza mengine.
 
Kwa Mussa Hassan pakawa Msasani
 
... you are wrong; absolutely wrong!

BOMA = British Overseas Management Authority; almost equivalent to District Commissioner (DC) today. And that's why today it is not very uncommon to hear people saying "naenda bomani" meaning they are going to DC's office or some other offices around those compounds.
 
British Overseas Military and Administration.
 
Shukurani kwa darasa, sikujua juu ya Bombo!
 
What's the difference with the first narratives? Same thing to me!
 
Kuna ile ipo Garden pale posta Iringa karibu na makaburi ya Wazungu
 
Magu fool ikawa Magufuli

Cc magu2016 voicer Magonjwa Mtambuka
 
Nimegoogle nikakuta kuwa

BOMA stands for British Overseas Management Administration​


Makao makuu ya wilaya ndiyo yalikuwa yakiikwa BOMA lakini waswahili tukageuza kuwa BOMANI; Je familia ya akina Paul Bomani walilitoa wapi?

Najua Kenya bado wana BOMAS
 
... shukran Mkuu. Umenyoosha maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…