British PM Inspects a Guard of Honor in Kenya

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
12,780
Reaction score
6,480
British Prime Minister Theresa May is in the country for a one day visit seen as crucial for Kenya’s trade ties with the UK. The premier is on a three-nation Africa whistle-stop tour coming months before Britain leaves the European Union. Theresa May is scheduled to hold talks with President Uhuru Kenyatta and sign what the foreign affairs ministry terms as crucial agreements.
 
Exports to the UK have grown from KSH.3.7 B in 1988 to KSH.38.5 B in 2017.
 
Halafu baada ya huyu Mchina pia, yaani wajue Kenya ndio kitovu cha Afrika, sio EAC tu.
 
Halafu baada ya huyu Mchina pia, yaani wajue Kenya ndio kitovu cha Afrika, sio EAC tu.
Mtu akija kwake anaulizwa swali!!!!!! Waingereza Wanamiliki Kenya Mpaka Kesho. Wachina wameingiza mkenge mnasifia ujinga. USA mnapigina vita yao na Alshabab. ACHENI SIFA ZA KIJINGA
 
Mtu akija kwake anaulizwa swali!!!!!! Waingereza Wanamiliki Kenya Mpaka Kesho. Wachina wameingiza mkenge mnasifia ujinga. USA mnapigina vita yao na Alshabab. ACHENI SIFA ZA KIJINGA

Waje wote yaani ni dhahiri Kenya ndio yenye ushawishi mkubwa kote. Nyie uwoga uwoga mumeshindwa kutoka nje kazi yenu kuliwa makinikia na kupokonywa ndege na michezo ya kuigiza ya makontena ya Bashite.
 
Sijasikia majibu ya hoja ya Malema, na wala sijasikia majibu ya mlalamiko ya waganda.
 
Sijasikia majibu ya hoja ya Malema, na wala sijasikia majibu ya mlalamiko ya waganda.

Malema anawachinja Waafrika wenzake Afrika Kusini kwa chuki kama zile zenu za xenophobic, hivyo hana hoja yoyote ambayo anaweza kuweka tumsklize.
Waganda tutawasaidia kupata demokrasia ya kweli, tuna undugu wa karibu sana nao ndio maana yakiwatokea tunaichukulia kama imetutendekea, sisi ni muhimu ukanda huu na ndio uliona mlipompiga Tundu Lissu risasi 38 akakimbilia Kenya baba na mama wa ukanda wote wa Afrika Mashariki na Kati.
 
Haujatoa majibu kuhusu ulichosema Malema, nimeona umejaza tuhuma tu hapa kitu ambacho ni sisi tunaweza kukosema kwa kilichomkuta ndugu yetu mpendwa Msando. Kifupi Kenya bado mmejaa ukibaraka wa wazungu, hilo limewashida kuacha. Wakati nchi zingine zinapigana kuwang'oa wazungu, Kenya mlikuwa mnakula meza moja na wazungu. So huwezi kija hapa kusema nyinyi ni baba yao wakati mnajua marafiki zenu wanapunguwa kwenye ukanda huu.
 
Nimekuambia sina haja ya kumjibu Malema maana mwisho wa siku yeye ni mnafiki na mbaguzi hata dhidi ya Waafrika wenzake, hivyo hana hadhi ya kuhoji yeyote. Hao Wasouth ambao kiherehere chenu kiliwapeleka mkawatete ndio leo wanaua hata Watanzania.
Sisi yetu moja, piga biashara, hatujali iwe Mwafrika au Mmarekani.
Hatupo kwenye biashara ya kutafuta kupendwa au kuuza sura, ukanda wote huu sisi ndio tunaongoza kwa uwekezaji, yote hiyo ni kwa sababu hatuna muda wa kutafuta kupendwa.
 
Unamesema Malema mbaguzi mbona na wewe unajipanga kibaguzi hapa? ukisema hamjali mtu ila pesa, inamaa asie na pesa au biashara kwemu hana tija. Mnawakati mgumu kueleweka hapa Afrika, na msilalamike mkiona Waganda wanawaacha na kukimbilia kwingine.
 
Waje wote yaani ni dhahiri Kenya ndio yenye ushawishi mkubwa kote. Nyie uwoga uwoga mumeshindwa kutoka nje kazi yenu kuliwa makinikia na kupokonywa ndege na michezo ya kuigiza ya makontena ya Bashite.
Si bora makoteina ya Bashite mtakufa na sukar ya sumu hamuhitaji viti wala sofa
 
Unamesema Malema mbaguzi mbona na wewe unajipanga kibaguzi hapa? ukisema hamjali mtu ila pesa, inamaa asie na pesa au biashara kwemu hana tija. Mnawakati mgumu kueleweka hapa Afrika, na msilalamike mkiona Waganda wanawaacha na kukimbilia kwingine.

Biashara haijui lugha nyingine ila ya pesa, ukija kwangu kibiashara basi tuongee biashara hamna cha kuuziana sura, lakini ukinitembelea kindugu, tutakunywa na kula na kucheka na kuaga kindugu.
 
Si bora makoteina ya Bashite mtakufa na sukar ya sumu hamuhitaji viti wala sofa

Ukiona uozo unatendeka kwetu, ujue Bongo ni mara kumi ya kwetu, ukifuata kwa makini utakuta nyie hampo salama mara likija la kuagiza kutoka nje maana nyie huagiza hadi sindano.
Nyie bandari yenu vituko hadi vichwa vya treni vinaibuka bila kujua mmiliki nani, mnavikimbia nyote, Magufuli ameshtukiza hiyo bandari hadi amechoka, kila akija anakuta uozo maradufu ya aliyoshtukiza mara ya mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…