BRITISH: The masters of hypocrisy

GT
Hii ndiyo gharama ya kutegemea misaada. Tungekuwa huru kiuchumi, tungeweza kujidai. Angalia katuni ya Gado jinsi misuli ya kiuchumi inavyoweza kukuletea heshima au urafiki(hata kama sio genuine)

[media]http://www.nationmedia.com/dailynation/images/news/cartoons/cart311007.jpg[/media]
 
The so called "western Liberal Socities" ni unafiki tu!
1. Pesa zinaibiwa Afrika zinawekwa ktk mabenki yao. Je hili hawalifahamu?
2. Nyumba nzuri zimejengwa ungwaibuni kwa mali ya wizi toka kwa watu maskini wa Afrika! Na hili je?
3. Silaha nyingi in Conflict areas ni biashara toka Ulaya! Tena biashara yenye faida kubwa!
4. Yet leo wanatoa handouts! Eti wanatusaidia kuondoa umaskini!
5. Unafiki mtupu!
 
Sijui DUA yuko wapi maana kwa kuwatetea hawa wazungu ndio mwenyewe
 
Hatuwezi kupata vyote: kujitegemea kimawazo na wakati huohuo tutake hela za wazungu! Maadamu tunataka hela zao itabidi tuvumilie tu kusikiliza hizi lecture zao, hakuna short cut! Tukitaka vinginevyo, tukubali kuishi na vihela vyetu hivyohivyo kiduchu tulivyo navyo. Tuishe maisha yetu, siyo ya wengine. Sasa sisi tunataka makubwa: marada. madege makubwa, maikulu mzinga, magari makubwa. mawaziri lundo, wakati hela hatuna halafu tunataka kujitegemea, wapiwapi na wapi ndugu zangu?
 

Na hii ndiyo tafsiri yangu ya neno "malaya", ni mtu anayevumilia kufanya kitu ambacho hapendi na wa wala hakifurahii, lakini anakifanya ili apate pesa. "Pesa mbele" ndiyo kaulimbiu ya malaya. Nakubaliana na Kitila kwamba tukitaka heshima yetu na utu wetu tukubali kuishi na vihela vyetu kiduchu tulivyo navyo. Mwalimu Nyerere aliweka msimamo kama huo na kukataa kabisa masharti ya hawa jamaa, matokeo yake hadi leo kuna wanaomlaumu kwamba alitusababisha tuvae viatu vya matairi ya gari (Arusha vinaitwa "masendeu"). Hii ni kama alivyosema Nyerere, inahitaji "moyo kama wa mwendawazimu vile!"
 
Kwa wale ambao wanaotaka kujua FARM SUSBSIDIES huwa zinaenda wapi then you dont need to look any further than this:

 
Next nitawa expose ma British Consultants wanavyotuibia pesa pale Dar kwa kupitia ofisi zao za DFID mtaa wa Mirambo,Dar

stay tuned....[/SIZE]

Mzee GT
hebu nimwagie hizo data za hao ma consultant hapo 50 Mirambo ni muhimu sana. Nazisubiri kwa hamu
 
Nakumbuka nilishawahi kuuliza kuhusu zile data ambazo Ubalozi wa UK unazikusanya pale Dar na nikajibiwa na baadhi ya members wa Jambo Forum ambao wanasifika kwa ushambuzi yakinifu kuwa eti WE DONT HAVE A CHOICE

swali langu lilikuwa very simple, je zile Data wanazozikusanya pale Ubalozini wana share na nani? Je Usalama wa Taifa una jurisdiction gani nazo? na je kuna sheria zipi za tanzania zinazowaruhusu kufanyavile but WACHAMBUZI waliamua kuignore maswali yangu na kuendelea kutetea hili jambo bila ya kuwa na any meaningful arguments ya kufanya hivyo



UBALOZI WA UINGEREZA DAR


Sasa nadhani mmesikia kuwa wamepoteza CD yenye dta za watu MILIONI 25 je nini kinakufanya uwe comfortable na data mining inayoendelea pale ubalozi wa UK TANZANIA? in my opinion it's quite shockingly careless mismanagement, so why should we trust 'them with more data, is the argument.


 
GAME
Unajua kuna mambo ambayo ni lazima tukubali tutake tusitake. There is no such a thing as one standard, double standards will always be there in this world. Sababu ni rahisi sana, UK leo wakiwaudhi Mamwinyi wa Saudi wanaweza kuyumbisha sana uchumi wao, ili kulinda maslahi yao ya Kiuchumi wanatakiwa kufyata mkia.
George Bus na CIa sio wajinga, walijua kabisa waliogharamia na kutekeleza mashambulizi ya WTC 9/11 ni wasaudi na waliolipia ni hao hao wanamfalme, na ni hao hao leo wanaowatoa jasho wamarekani Iraq lakini bado wamefyata mkia. WHY? jibu uchumi.
Same story applies to CHINA. US huwa wanachimba mkwara kwenye majukwaa ya siasa lakini wakienda China wanafyata na na kuwasifu, same story uchumi. Mugabe analaumiwa na kuonwa hafai kwa sababu ya mkono wake haulambwi. Ukiangalia juu juu unaweza kusema ni double standars lakini ukweli ni kwamba it is only one standard Money Money Money. Hata Ukiangalia Omar Bongo Gabon na Paul Biya wa Cameroon wamekaa madarakani sana , kisa ni kuwa kuna watu na Makampuni PARIS yanavuna, they do not care about the people there.
Huu ndio ukweli wa mambo.
 
May be Field Castro ndo amekuwa tu consistent na sera za Ukomunist kwa zaidi ya miaka 40!
 
Maybe they are they way they are because they are smarter...
 
Asanteni kwa majibu yenu lakini kimya cheu kuhusu DATA MINING inatyoendelea pale Ubalozi wa UK Dar kinanitisha

Au hilo sio muhimu?
 
Huwezi kupingana na hawa jamaa ktk jambo lolote lile. Remember, Waingereza hawapo peke yao, wana ndugu zao Canada, USA, Australia nk.
 


Koba; Hivi haya kwenye BIBLE wewe unayaamini?

1) Man is the image and glory of God, but the woman is the glory of mam (1 Corinthians 11:7)

2) It was the woman who was deceived and became sinner,' all humans are born in sin because of woman'(1 Timothy 2:14)

3) I don't permit a woman to teach or have authority over a man; she must be silent (1 Timothy 2; 12-14)

4) When a woman has her regular flow of blood,,, anyone who touches her will be unclean till evening (Leviticus 15:19-22)
 
Asanteni kwa majibu yenu lakini kimya cheu kuhusu DATA MINING inatyoendelea pale Ubalozi wa UK Dar kinanitisha

Au hilo sio muhimu?

Mkuu GT,

Hii DATA MINING unayozungumzia inahusu nini hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…