sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,055 Jun 25, 2014 #1 Ni ajabu na kweli wanafunzi wa diploma mwaka wa kwanza hawajafanya mtihani wa mwaka wa kwanza(brn) mpaka leo hv tatizo ni nini? wandugu kama kuna mwenye info anipe maana cjajua bado na inakuaje ikiwa tayari contena jipya lishashusha
Ni ajabu na kweli wanafunzi wa diploma mwaka wa kwanza hawajafanya mtihani wa mwaka wa kwanza(brn) mpaka leo hv tatizo ni nini? wandugu kama kuna mwenye info anipe maana cjajua bado na inakuaje ikiwa tayari contena jipya lishashusha