BRN imeshindwa kazi katika shule hizi form two

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
1,104
Reaction score
251
Matokeo ya mtihani wa kidato cha pili yaliyotolewa na NECTA jumamosi iliyopita yamedhihirisha BRN imeshindwa kuleta matokeo mazuri kwa shule nyingi. Tuzitaje shule hizo wanasiasa wajue BRN si chochote zaidi ya wimbo kama kilimo kwanza.

Naanza kuzitaja

Engutoto sec. School iliyopo Monduli mjini wanafunzi 48/166 wamefeli.


Endelea kutaja zingine
 
Hata gari ikija kuuzwa sh 10000 sio wote watakuwa na uwezo wa kununua! Nani ambae anatakiwa kuchangamkia hio chance serikali au mwanafunzi sio kila mwanafunzi aki feli ni serikali
 
Elimu si kwa wote ni kwa wale wanaohitaji kutuwekea shule za kata zisizokuwa na miundombinu bora na kutufaulishia wanafunzi kisa siasa ndo kaburi la elimu ya Wadanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…