Ndio mkuu..Mtoto wa kiume akaze
Kaka mbona duniani kuna kila kitu?Dogo anadhani duniani ni paradiso
Kuna namna sisi binadamu ndio tumejitengezea matatizo wenyewe ila dunia ina kila kitu cha kutufaa 🤣Tumbo si anapata kila kitu ila huku ndo jua lako mvua yako
Dunia show show matapeli kibaoDogo anadhani duniani ni paradiso