Bro wangu anatafuta girlfriend

mwakifamba

Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
48
Reaction score
15
Habari wanandugu,

Nina bro wangu anatafuta girlfriend
Amejiajiri na umri wake ni miaka 36. Ni mkristo. Naandika ili iwasaidie wale wanaopendelea watu wa upande wao lakini yeye habagui dini.

Kama kuna msichana aliye serious aniPM niwaunganishe.
 
Bro kashindwa tongoza mtaani, kanisani, barabarani kweli?!
 
Ushimen,

Hiyo n assumption yako tu. Ni bro wangu sio mm wala yeye hajui km namtafutia

Pia jamani naombeni muwe serious utanibmeingine hauna ulazima
 
Dogo hebu jitokeze tu kuwa ni wewe, udomo zege ni noma
 
umetumia mbinu zakizamani sana, unamtaja bro ili ujinufaishe??
 
Sasa kwani huyo broh wako kasema umtafutie jf au
 
Mmh.... Mmh.... Mmh... Hivi vitu vya kutafutiwa huwa na madhara lakini
Habari wanandugu,

Nina bro wangu anatafuta girlfriend
Amejiajiri na umri wake ni miaka 36. Ni mkristo. Naandika ili iwasaidie wale wanaopendelea watu wa upande wao lakini yeye habagui dini.

Kama kuna msichana aliye serious aniPM niwaunganishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…