Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Wadau nimepata taarifa hivi punde kutoka kwa bro. ameniambia house boy kammegea wife wake.
Kama haitoshi kampa na ujauzito kabisa huku sisi tukiwa na imani na matumaini kuwa bro kafanya kazi nzito na nzuri kumbe house boy ndo aliye mpa. Wife wa bro amekiri kosa na amekubali kuwa ni kweli ujauzito na wa huyo house boy.
Bro yupo njia panda anashindwa afanyeje!