muhosni JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,108 Reaction score 152 Feb 15, 2011 #1 Nimepita maeneo ya Salender Bridge Dar es Salaam asubuhi hii nikaona bango kuuuubwa (billboard) limeandikwa "Broadcast Your Love" Sijui wanamaanisha nini, nikaona nilete hapa kwa magwiji wa malovee niulize ina maana gani?
Nimepita maeneo ya Salender Bridge Dar es Salaam asubuhi hii nikaona bango kuuuubwa (billboard) limeandikwa "Broadcast Your Love" Sijui wanamaanisha nini, nikaona nilete hapa kwa magwiji wa malovee niulize ina maana gani?