Broken Heart - Breaking Up


...lol...soulmate, jamaa akinipulizia dawa ya mbu jijue umehusika kwenye mauaji haya!

 
Reactions: BAK

....Bro Mbu sasa niongeze nini tena nawe umeshamaliza kila kitu!? 🙂🙂 si unaona hata soulmate wako kakupigia debe la nguvu sana hahahahah lol!
 
....Mhhhhh! MJ1 🙂🙂.....BAK loves this 🙂🙂

hahahaha!

...kule kwenye
facebook kuna feature; 'so and so' have mentioned you in his/her post...
hebu nambie BAK kama jf naweza ku enable option hiyo...maana mwj1 hata akipotea mwezi, siku akinitaja
tu nawewe unaibuka...hahahahahaha!...

ngoja niende imarati sasa, sijui leo tutafungwa ngapi yarabi...
 
Hahahahahaha hii sasa kesi mwenzangu!! eh
 
Reactions: Mbu
Moskwito kathibitisha, kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi!
Grieve kidogo, get a life and move on. Tena ndo wakati haswaa wa kutimiza ndoto zako ambazo zilikuwa zinamkwaza mwenzio. Kama umri unaruhusu nenda shule ama find a better job, kama hali inaruhusu build that dream mansion! Heey, sky is no longer the limit! Go for the sun, if its too hot u will at least catch the moon.
 


Hahahahahahahah lol! ni coincidence tu Mkuu JF sidhani kama kuna feature kama hiyo ya kwenye FB 🙂🙂
 
Reactions: Mbu
Advice: GET OVER IT. . . LIFE GOES ON!!

Kabisa Lizzy mamii, yaani ajaribu awezavyo kumsahau na kumove on. Even if itabidi adevelop new hobbies. Mie niliamua kuusoma mchezo wa Wrestling! Hadi nimekuwa addicted aisee and I thank HIM for that coz I get more satisfaction in wrestling more than I used to get when I was with him aisee.
 

...haha, soulmate kujaribu kumsahau mtu aliyeingia na viatu vya matope akilini mwako ni ngumu kidogo,
la msingi ni kujikubalisha hilo tope waweza jengea angalau tofali la kuchoma!


...Soulmate Wrestling tena? angalia usimharibu prince bana, hachelewi wafanyia majaribio watoto wenziwe. Arsenal inacheza leo, tukifungwa tena kumbuka nilivyoumwa na ile swaumu ya mwaka jana!
 
mbu asante kwa ilii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…