Ndugu zangu wanaJF,mie ni kijana wa kiume na ninatafuta msichana alie tayari kuwa nami kwenye mahusiano.
mie ni graduate na natafuta mwenye elimu kama yangu.
awe na kipato cha kujitosheleza.
awe mzuri kwa sura na tabia kwani nami nina wajihi mzuri sana na tabia njema pia.
akiwa na mtoto sio mbaya ili mradi awe single.
so,kama kuna mdada anaetafuta mwenza naomba ani pm tafadhali.
nb.
urembo na tabia njema ni vigezo vya msingi hayo mengine kuna uwezekano wa kulegeza msimamo.
wadada himahima broken Heart amekuja kuwashikaaa:love:
Ooopsss nishawahiwa na jamaaa but mtangulize Mungu utafanikiwa tuu kwani huko chuoni hukupata kaka????:help:
Mi nina tabia nzuri lkn sio mrembo kaka, wala sina hoby na urembo, vingine vyote ninavyo. Unasema je?
nyinyi mbona mnazidi kulibreak broken heart? khaaa!mimi nina miaka 40 na nina watoto watatu.......na moyo wangu umevunjika......nimekwalifayi?
Ooopsss nishawahiwa na jamaaa but mtangulize Mungu utafanikiwa tuu kwani huko chuoni hukupata kaka????:help:
Mi nina tabia nzuri lkn sio mrembo kaka, wala sina hoby na urembo, vingine vyote ninavyo. Unasema je?
nyinyi mbona mnazidi kulibreak broken heart? khaaa!
Hahahaa!LD mi sijali urembo, kama una tabia nzuri hata kama utakuwa na sura ka mamba, shape ka kiboko, na mwendo kama Dinosour mi hapana mbaya, niPM plz...!!:help::help::help:
LD mi sijali urembo, kama una tabia nzuri hata kama utakuwa na sura ka mamba, shape ka kiboko, na mwendo kama Dinosour mi hapana mbaya, niPM plz...!!:help::help::help:
nyinyi mbona mnazidi kulibreak broken heart? khaaa!
Hahahaa!
We unatafuta spacemen ya research au?
hehehe shosti sentensi ina utata hiyo. hapa unamaanisha kwako au hapa unamaanisha hapa JF?. mimi ni mpigaji debe asie rasmi wa broken heart katika hii sredi.Kloro nnaimani hapa atapata pumziko zaidi ya pumzika...
Ndugu zangu wanaJF,mie ni kijana wa kiume na ninatafuta msichana alie tayari kuwa nami kwenye mahusiano.
mie ni graduate na natafuta mwenye elimu kama yangu.
awe na kipato cha kujitosheleza.
awe mzuri kwa sura na tabia kwani nami nina wajihi mzuri sana na tabia njema pia.
akiwa na mtoto sio mbaya ili mradi awe single.
so,kama kuna mdada anaetafuta mwenza naomba ani pm tafadhali.
nb.
urembo na tabia njema ni vigezo vya msingi hayo mengine kuna uwezekano wa kulegeza msimamo.
i bet this is a joke,right?
mkuu isikusumbue hii, hawa jinsia ya upinzani ndio zao, hazarani huwa wanajifanya kukataa lakini mkifika ndani wao ndio wanaanzisha kiduku. hapa tunapiga soga tu la muhimu hakikiksha inbox yako ya PM ina chaji ya kutosha.mbona hizi comments zanipa kizunguzungu badala ya suluhisho?
:disapointed::disapointed: