Mkuu sasa mbona unataka nifukuzia ndege wangu? hayo mambo ya kuangalia urembo ni ya hawa vijana wa kileo wanaojiita mashalabano, sie zamani tulikuwa tunaangalia tabia. Kwanza mke mzuri ni matatizo tu...
Late Lucky Dube katika wimbo wake wa It's Not Easy alisema hivi, nanukuu, "Beautiful women, is another men's play thing."
So, LD mama niPM plz
acha masihara basi
hehehe shosti sentensi ina utata hiyo. hapa unamaanisha kwako au hapa unamaanisha hapa JF?. mimi ni mpigaji debe asie rasmi wa broken heart katika hii sredi.
mkuu isikusumbue hii, hawa jinsia ya upinzani ndio zao, hazarani huwa wanajifanya kukataa lakini mkifika ndani wao ndio wanaanzisha kiduku. hapa tunapiga soga tu la muhimu hakikiksha inbox yako ya PM ina chaji ya kutosha.

Mwanaume ndo ana anza wewe, fuata protocal.
dah! kwa hali inavyokwenda nahisi broken heart imekula kwake. hili sredi langu la kutafta mchumba acha nilizuie kwanza, naona ngoma ngumu. warembo mnabana kama bajeti ya bongo?hahahaha namaanisha jf bwana,mie mtu mzima sana kwa mambo hayo...
dah! kwa hali inavyokwenda nahisi broken heart imekula kwake. hili sredi langu la kutafta mchumba acha nilizuie kwanza, naona ngoma ngumu. warembo mnabana kama bajeti ya bongo?
dah! kwa hali inavyokwenda nahisi broken heart imekula kwake. hili sredi langu la kutafta mchumba acha nilizuie kwanza, naona ngoma ngumu. warembo mnabana kama bajeti ya bongo?
time will tell coz so far bila bila
heheheh dah! hapa kama broken heart ni mshabiki wa chelsea basi shosti ushatolewa kwenye kinyang'anyiro, inabidi usubilie sredi langu tu.we ukilianzisha tutaachia kama Chelsea!!!
heheheh dah! hapa kama broken heart ni mshabiki wa chelsea basi shosti ushatolewa kwenye kinyang'anyiro, inabidi usubilie sredi langu tu.
sjawahi kusmamia kesi ya mtu halaf akakosa mchumba. anzisheni sred ya michango tu, hapa nitafanya makeke broken heart ataondoka na toto "paja mtelezo, hipsi la picha". halaf wewe hauruhusiwi kutuma CV yako kwa broken heart. sawa?khaaa!
Vuta subira lakini. Watakuja tu.
halaf wewe hauruhusiwi kutuma CV yako kwa broken heart. sawa?
mbona hizi comments zanipa kizunguzungu badala ya suluhisho?
:disapointed::disapointed: