Broken heart

hapa itakuwa kuna mod anammind lizzy, yaani ile kulembea kamstari kamoja tu kwa lizzy, network imekatika hafla. nimeandika hii post nikiwa na hasira kweli aisee. mnaombwa warembo mnitulize kabla sijaluz temper zaidi
 
Chacha uzuri wa sura una u-qualify vipi? Pumba! Kila binadamu anajiona ni mzuri labda kama hukulelewa kwa maadili. Awe na mtoto lakini awe single!?

Chuo kikuu gani ulimaliza na una shahada gani wewe?
 
c'mmon kloro bado tunahitaji dawa tunaomba usiluz tempa,,sawa eee?tunaomba unkabidhi lizzy kale kamzigo ka hus kwani wamefikia makubaliano,,,mia
 
afazali, dah! walinikera sana, yaani wananipoteza hewani wakati bili nalipa kwa wakati bana! kale ka bluetooth student tayari oficially ni ka lizzy (akikubali au akikataa hii ni lazima), kwanza cpu yenyewe imefilisika , juzi niligongana nayo kariakoo inauza nyanya. khaaa!
 
hapa itakuwa kuna mod anammind lizzy, yaani ile kulembea kamstari kamoja tu kwa lizzy, network imekatika hafla. nimeandika hii post nikiwa na hasira kweli aisee. mnaombwa warembo mnitulize kabla sijaluz temper zaidi

Hehehe!Utakoma mwaka huu!
 
Kha?Kwahiyo utanilazimishaje?Unanifunga kamba?Alafu mi kwa Sipiyu sikufuata pesa!
 
heheheh dah! hapa kama broken heart ni mshabiki wa chelsea basi shosti ushatolewa kwenye kinyang'anyiro, inabidi usubilie sredi langu tu.

mie Barca.
 
Mi nimeishia form four ila vigezo vingine vyote nnavyo!!Nitume maombi?

kama nilivyosema misimamo mingine inaweza legezwa tu.
vigezo sio msahafu
 
Chacha uzuri wa sura una u-qualify vipi? Pumba! Kila binadamu anajiona ni mzuri labda kama hukulelewa kwa maadili. Awe na mtoto lakini awe single!?

Chuo kikuu gani ulimaliza na una shahada gani wewe?
kama ulifuatilia maelezo yangu nilisema uzuri wa kitu upo machoni pa mtazamaji na kama waona nimekosea ungeweza potezea tu au kushauri kwa lugha ya staha na sio kusema pumba.
kuna wadada wenye watoto na hawapo pamoja na baba.mbona maelezo yanajitosheleza kabisa.
mie nimemaliza UD na nimesoma economics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…