klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
mkuu ngoma inaonekana kuwa ngumu! kama namna gani vipi badilisha ID uje kivyengine. hawa kina lizzy, shosti, husninyo, michelle,wiselady, nakazalika nakazalika wengi wao wanamind kijana akuwe sharobaro. sasa ingia na zile gia za meen! adhawaizi acha niendelee kukupigia debe huku PM.yaani longo longo tupu!
mkuu ngoma inaonekana kuwa ngumu! kama namna gani vipi badilisha ID uje kivyengine. hawa kina lizzy, shosti, husninyo, michelle,wiselady, nakazalika nakazalika wengi wao wanamind kijana akuwe sharobaro. sasa ingia na zile gia za meen! adhawaizi acha niendelee kukupigia debe huku PM.

nimeona juhudi zako japo hawa raia wameamua kuweka mgomo.
kwa kua umeamua kuweka kigezo cha elimu usee una G.PA ya ngapi na faculty yako! Pia tupe muhtasari wa mahusiano ya awali,status yako kimaisha,falsafa yako ya ndoa as well...perhaps baada ya hapo ukiweka mode ya application maombi yataanza kumiminika bila kikomo!
nipo just bring it onPamoja na kwamba nitakua kwenye kamati yako ya uchaguzi nataka nikupime kwanza nijue km unaweza kuhandle family matters...yumkini nina dada single of whom km ukiwa straight forward utaweza kujitwalia...bt actualy nataka dada yangu awe shemeji yangu kwa fact kwamba mume wake awe rafiki yangu na ni dhahiri kua mke wa rafikiyo ni shemejio bila maswali zaidi!....Upo?
</p>pigo moja tu na moyo ukagawanyika kama uonanyo kwenye avatar.
mkuu hakijaeleweka bado?natamani sana ningefanikiwa ila naona mwitikio wa wadada ni hasi.