Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
Wadau tusaidiane
what are the do's and dont's ya mtu alie katika broken heart situation?
Ni dillema kwa kweli!!
But najua jamvi litatoa msaada wa kutosha hapa
...inategemeana na 'situation' yenyewe, Broken hearts zipo za aina nyingi i.e kuachwa, kufumania, kukataliwa uchumba, kukataliwa unyumba nk...fafanue ndugu Iteitei lya kitee...🙂
wadau tusaidiane
what are the do's and dont's ya mtu alie katika broken heart situation?
Ni dillema kwa kweli!!
But najua jamvi litatoa msaada wa kutosha hapa
do's
jichanganye na ndugu, washikaji
kuwa bize
jipe moyo, she is not the only fish in the sea
donts
Usianze uhusiano mpya
usiwatafute wapenzi wa zamani
usijitenge
Ni kuachana kwa kushindwa kuelewana tu mkuu,
Mie mitizamo yangu ni tofauti na yake ni tofauti kimaisha.
Yaani tumegungua kua hatutofika kule tuendako hivyo tumeona tutengane tu.
Ni uamuzi mzito ambao una umiza roho hasa ukizingatia mtu mmeanza nae mbali.