Broker Mchapakazi

BMCtz69

New Member
Joined
Jun 30, 2022
Posts
4
Reaction score
3
Mimi ni DALALI ninaewasaidia Wauzaji na Wanunuzi wa Nyumba, Viwanja pamoja na Mashamba kuwakutanisha pamoja ili waweze kufanya biashara kwa haraka zaidi, Nipo MWANZA mjini ila nafanya kazi popote Tanzania.

Je, unapata changamoto unapotaka kuuza au kununua Nyumba, Kiwanja au Shamba? Wasiliana nami hivi sasa.

ZINGATIA: Kama utafuta uwe ni Mteja (muhusika mkuu) na kama unauza pia uwe ni Mmiliki..

{Kazi zangu sio za kubabaisha Unachopaswa kufanya ni kuwa serious tu, Wasiliana nami sasa hivi tufanye kazi usipoteze muda}

Mawasiliano:- [emoji116]

[emoji338] +255678606660

[emoji391] Email:[emoji117] bmchapakazi@gmail.com
 
Pouwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…