Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Ngoja tuendelee kuusoma uzi
 
Its happening…
 
Capt. Tesha na Polepole wanakuuliza una mashaka na tabiri za Tumia akili ?
 
Sir uko salama?
 
Sir uko salama?
Huyu bwana mi nadhani ni BT mwenyewe au one of his accomplices na anachofanya hapa ni hadaa tu.

Rejea tabiri zake za nyuma kuhusu wote waliokua against nao jiwe, yule aliekua waziri wa fedha nk zote zilitimia.

Ila kwenye hili mara waseme wamemuongezea muda, mara kimya kama hivi.

Sio tu kutubagaza kirasilimali ila yameamua na kutupa mateso ya kisaikolojia 🤗
 
Brother=Nchimbi!!?

Tunaojua kupima density ya viscous liquid kama damu unaweza kuona Ile iliyomwagika 2020 ni less denser than hiyo ya uchaguzi wa 2025 October ama sivyo!!!?

Kama Ile damu ya uchaguzi wa 2020 ilikua less denser na ikaleta mabadiliko Sasa hii ya mwaka huu 2025 oktoba kwanini isilete Tena badiliko kuu!!?

Kama mahakama ya ICC iakafanya KAZI na kupiga ban viongozi wetu hasa namba moja!na mambo yakawa hayaendi SI inabidi Yona atoswe ili brother ashike!!?

Nawaza tu!

Kifupi ni kwamba Blood density ya Tanganyika inaleta mashaka ya upili Hadi 2030 alieshika uskani!!

Nilipomuona Isdory akimweka wakfu songea Kwa mikono miwili kichwani,ni kama mpakwa mafuta akiwekwa wakfu Kwa mafuta ama sivyo!!?

Halafu huyu R.A dalali mkuu na huyo Mzee wa tabasamu siyo double agent wanaomwingiza namba Moja mtegoni!!?ili she ateme bungo!!?
Mi nakataa kata kata eti R.A na JK wamewapa kisogo USA na UK yaani kina w. Bush,Obama na Tony Blair Kwa kuwa favor Putin,UAE plus chinese yaani R.A na j.k wasaliti CIA,FBI plus M16 na kuungana na INCIS,KGB and co!!?

Ngoja nione tena miaka ya miujiza ya namba Moja huyu kufika 2030 akiwa ametapakaa blood density ya tanganyika !!wakati mwendazake (Kwa tetesi) ATI aliwatumia imbonerakure was kirundi kwenye baadhi ya maeneo Tanganyika na visiwani kutuliza fyoko fyoko za uchaguzi 2020 na akatangulia!!

KAZI na utu,acha tusonge mbele comrade's kama ilivyoandikwa kwenye ilani yetu!
 
Member mmoja CWR 2016 aliwahi sanua hii,lakini hatujui uhalisia was hiyo ishu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…