Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Uzi chaliiii, unabiii umekwama
Brother=Mungu pamoja.nasi!! Wa kusini!!

1.yahusiana na wewe kubaki bila kuondoka wakati sahihi ukifika utajua=Baki kwanza usirudi Brazil kama balozi Kuna kazi unatakiwa kuifanya!

Nadhani!!

Alipaswa kuingia mapema kama fdr,lakini mission ikasitishwa ndio ikaja desert mission no reform's no election ambayo imekamilika Kwa Damu iliyomwagika kama maji Ina halalisha Yona kutoswa baharini ili bahari ipoe!!

Kwanza maridhiano feki halafu funerals kusindikiza msiba mkuu!!

Nadhani!!
 
nimekubali zote ila no 22 ichunguzwe tena🙇🏽‍♀️
Tanzania mpya hio tunakaribia kuifikia
Mungu naomba mimi na familia yangu tupate kuiona
Brother mwenye ujumbe huu nina imani nae Mungu aendelee kumtunza👏🏼🙏🏾
 
Minilikuwa naamini mpango ndio mpango mzima mwamba hana makando kando na CV yake imeshiba kwa Sasa hata sielewi nimekosa Imani
Na ndo alikuwa mlengwa nadhani. Maana ndiyo alionyesha dalili za kuondoka mapema so hapa alikuwa anashauriwa asiondoke. Huyu God with us labda iwe plan B. Hii ni iwapo TA siyo JK.
 
Namba 11 kama mnataka adhabu hiyo iwe basi ianze tangu kuundwa kwa CCM na sio kusema hivi karibu.

Kwani waliopita ndugu zao hawana makovu mioyoni mwao?



Mengine yote naunga mkono hoja.
 
Naongezea hapo, kila mtu alipe Kodi awe mbunge,sipika,waziri, hata rais pia ili kila mtu awe na uchungu,pia asiwepo mtu mmjoa kua na vyeo zaidi ya kimoja maana kwa sasa watu ni wengi na wasomi ni wengi sana hakuna haja ya kumpatia mtu mmoja vyeo zaidi ya kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…