Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
-
- #101
Ila negative effects za kujichua zipo nyingi kibali ukataePorn actors wana viagra kumbuka.
Pamoja na yote masturbation haisababishi nguvu zipungue.
Hili nitalikataa mpaka kesho
Yeah kuna ishu za macho na mgongo zimewahi kuripotiwa ila hazijahusishwa directIla negative effects za kujichua zipo nyingi kibali ukatae
Nini madhara yake ukilinganisha na kukaa kikavuWakuu,
Vijana wengi sasa hivi wamekuwa wakijihisi wana matatizo ya nguvu za kiume kumbe ni wazima kabisa.
Matatizo mengi ya nguvu za kiume husababishwa na kuangalia sana picha za ngono na Punyeto.
Picha/ video za ngono hukufanya uzoee kuona nyeti za mwanamke na hivyo kukufanya usipate hisia kali pale unapokua na mwenzi wako.
Punyeto hulegeza misuli ya uume hivyo huufanya umalize kwa haraka au ushindwe kusimama vizuri wakati wa tendo.
Sababu nyingine ni woga (anxiety) wakati wa tendo. Punguza woga na uwe relaxed. Utapiga show nzuri tu.
Pamoja na hayo, kuna baadhi ya watu ambao wana shida za kiafya ambayo zinawafanya washindwe kuwa na nguvu za kiume.
Wahi kwa Daktari, matatizo haya kwa kiasi kikubwa yanatibika
Naomba kuwasilisha.
Ukweli wa aina mbili amabo wanaume wote duniani huwa hawataki kuonekana wanahusika nao ila ki uhalisia wanahusika nao kwa zaidi ya 90%Wakuu,
Vijana wengi sasa hivi wamekuwa wakijihisi wana matatizo ya nguvu za kiume kumbe ni wazima kabisa.
Matatizo mengi ya nguvu za kiume husababishwa na kuangalia sana picha za ngono na Punyeto.
Picha/ video za ngono hukufanya uzoee kuona nyeti za mwanamke na hivyo kukufanya usipate hisia kali pale unapokua na mwenzi wako.
Punyeto hulegeza misuli ya uume hivyo huufanya umalize kwa haraka au ushindwe kusimama vizuri wakati wa tendo.
Sababu nyingine ni woga (anxiety) wakati wa tendo. Punguza woga na uwe relaxed. Utapiga show nzuri tu.
Pamoja na hayo, kuna baadhi ya watu ambao wana shida za kiafya ambayo zinawafanya washindwe kuwa na nguvu za kiume.
Wahi kwa Daktari, matatizo haya kwa kiasi kikubwa yanatibika
Naomba kuwasilisha.
Athari zake ni temporary na zinatibika.... You only live once [emoji23]Ule mkono wako kadri unavozidi kuutumia iuuchua ndivyo misuli inalegea
Kumbuka unavojichua unatumia nguvu
Au uongo [emoji2][emoji2]
Niwe mkweli. Hapo kwa yote nahusika. Ya nini kuwa mnafiki?!Ukweli wa aina mbili amabo wanaume wote duniani huwa hawataki kuonekana wanahusika nao ila ki uhalisia wanahusika nao kwa zaidi ya 90%
1. Punyeto
2. Kununua malaya
Haya mambo mawili kila mwanaume hataki kujulukna kuwa anahusiana nayo.
Duh mara 5 kwa siku😄😄..we unastahili uenyekiti wa chaputanapiga nyeto mara 4 mpaka 5 kwa siku, kila siku
leo mpaka mda huu niko cha 4
hayo madhara ni hisia zenu
1. naokoa pesa
2. sipati UTI
Hawa waketa mada za punyeto hawana points kabisa sijui wanaona humu wote ni watoto wa secondary?Picha/ video za ngono hukufanya uzoee kuona nyeti za mwanamke na hivyo kukufanya usipate hisia kali pale unapokua na mwenzi wako.
Kama nyeti za mwanamke zingekuwa zinazooleka basi long time ago porn productions zingekuwa zimesimama.
Mtu anayepiga pull asubuhi, mchana na jioni unawezaje kutuaminisha ana tatizo la nguvu za kiume?We kaza fuvu
Kwa wale walokua addicted mfano asubui atapiga , jioni atapiga na usiku atapiga ndo hupata hizo effects ila kwa wale wanaopiga walau mara mbili kwa mwezi au mara moja kwa wiki hawana haya madhara
Inafikirisha [emoji41]Mtu anayepiga pull asubuhi, mchana na jioni unawezaje kutuaminisha ana tatizo la nguvu za kiume?
[emoji1787][emoji1787]Mtu anayepiga pull asubuhi, mchana na jioni unawezaje kutuaminisha ana tatizo la nguvu za kiume?
nadhani ni kwa lengo la biashara tu...Suala la Tatizo la nguv za kiume linakuzwa Sana kuliko uhalisia
Ukikutana na mwanamke kwanza utaona uke wake umelegea, maana size na resistance unayojipimia ya mkono haina uhalisia na ya mwanaumke. Utapata shida sana na hiyo ni addiction wala hutafurajia tena tendo na mwanamke mpaka upate matibabu. Unfortunately hapa tz hatuna hata specialists watakaokisaidia . Labda uamue mazima kuwa hutakuwa na mwanamke tena maisha yako yote, maana she won't be able to enjoy being intimate with you either. Unapofanya hayo hutagundua athari ambayo umeshapata, mpaka ukutane na mwanamke ndo utajua how far you have been damaged.napiga nyeto mara 4 mpaka 5 kwa siku, kila siku
leo mpaka mda huu niko cha 4
hayo madhara ni hisia zenu
1. naokoa pesa
2. sipati UTI
Basi Wacheza x ndo wangekua wahanga wakuu wa Hilo tatizo, maana wao upigaji wao wa punyeto umepitiliza, na Ni Kama kazi Yao.Kwa hiyo hawa wanaosema ni uongo wanajifunzaje mambo kama haya, maana ni kweli tupu kuwa porn na masturbation zina athari katika ushupavu wa mwanaume kitandani. Ndiyo maana wenzetu wazungu mke akikukamata na hizi addiction unaenda kupata matibabu asap la sivyo hakuna ndoa. Ni tatizo kweli, imethibitishwa kutaalam msiwe wagumu kuelewa , you need to accept ili uweze kuchange. Basi mtapigiwa sana show sna na vijana wanaojua kazi mjifanye mna wivu mjiue.
Sasa unasemaje kuwa wanapiga nyeto wakati who ndiyo wanaofanya show. Sidhani kama tunaongelea kitu kimoja. Jamaa wana kazi moja tu nayo ni kufanya show, tunawaitaje kuwa wanafanya punyeto, sijaelewa hapo. Na what is viagra zinahusika humo, I don't really know what happens with porn, but I guess sex is the key function.Basi Wacheza x ndo wangekua wahanga wakuu wa Hilo tatizo, maana wao upigaji wao wa punyeto umepitiliza, na Ni Kama kazi Yao.
Nita kurudia GlennWale wenye tatizo la KUMWAGA MAPEMA AU UUME KULEGEA NDANI WAKILA TUNDA WANIONE.
kunatiba niwapatie msumari usimame hadi waunganishe bao.
(NOTE; SIFANYI BIASHARA, UTACHANGIA NAULI NA USUMBUFU KIDOGO)