Wanabodi, hayo ndo yanayotokea kwenye shamba langu kama mkulima wa nje (out grower) ambaye hulima maua haya na kuuza kwa wazungu ambao wao hufanya wajuavyo na kusafirisha huko nje maana mm cna soko huko.
Majani hayataki kuwa kijani tena kama inavyotakiwa na yameamua kuwa na hiyo rangi na kushusha kipato changu.