Management ya mradi wa mabasi yaendayo kwa Kasi BRT katika kutekeleza mpango wa 'maboresho', na kinachoonekana kuimarisha mfumo wa ukusanyaji mapato wamekuja na card. Wazo jema kabisa kwani pia hupunguza muda wa mteja kukaa foleni kununua tiketi.
Lakini waliopanga bei ya card hawakuzingatia hali halisi uchumi wa watumishi Huduma ndio maana wakaja na bei ya sh. 5000/. Hawakukumbuka kuwa ni management iliyofuta ghafla matumizi ya card tulizonunua awali hivyo baadhi tulipoteza pesa!
Maana ghafla walisitisha matumizi ya card. Sasa umma tukiwa hatuna uhakika sana km matumizi ya card hayatabadilishwa wanakuja na bei ya sh.5000/. Hatuna uhakika wa usalama wa card hizi (maana yeyote anaweza kunitumia ukipoteza au kuibiwa).
Laiti management ya BRT wangetumia dk 30 tu kujifunza kwa wenzao wa vivuko vya Kigamboni, wanaouza 1000/ kwa card, hali ambayo kuna familia wanamudu kila mwanafamilia kununua card.
HUJUMA ya WATUMISHI: kwa makusudi watumishi walio ktk madirisha ya kukata tiketi wamepata 'mpenyo wa kupiga pesa', hivi sasa iwe asubuhi/mchana/usiku, kila kituo hawana chenji. Mradi ulipoanza walidai hawana 50/ hivi sasa hawana 250/.9 Nimepita vituo kadhaa na kukuta hali hii.
Abiria snalazimika kukaa muda mrefu kituoni hata pale unapoona mteja aliyekutangulia ameacha chenji,bado unaambiwa hakuna chenji. Matokeo yake, unaamua kulipa 1000/ na kuacha 250/. Swali, management hamjui? Wasimamizi wa vituo hawajui?
Au ndio 'mradi binafsi' mmeanzisha? Mmeamua kuweka ugumu wa makusudi Ili kutulazimisha kununua card? Mmezingatia nini kupanga bei hii ya card?