Bruce Lee

Babylon hawakutaka uwepo wa huyu kiumbe
 
Bruce ana watoto wawili brandon lee na wa kike shannon lee ,wa kike bado yupo hai na mke wake ila brandon lee ndio alikufa wakati anaigiza series ya the crow ilikuwa inaonyeshwa ITV miaka ya nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…