Ikaria
Member
- Jul 17, 2019
- 93
- 238
Nyota wa filamu kutoka nchini Marekani Bruce Willis ameamua kuachana na uigizaji baada ya kubainika kuwa na ugonjwa wa aphasia.
Aphasia ni hali inayozuia mtu kuzungumza na kuandika. Mara nyingi ugonjwa huu husababishwa na uharibifu wa upande wa kushoto wa Ubongo.
Taarifa za kustaafu kwake zilichapishwa kwenye instagram kupitia akaunti za mke wa Emmy Willis pamoja na mke wake wa zamani Demi Moore.
Ni filamu gani ya Bruce Willis unaikubali sana ?