TEARS OF THE SUN
Mle kaupiga mwingi sana
Duuuh pole yake sana aiseee MUNGU amsaidie.Nyota wa filamu kutoka nchini Marekani Bruce Willis ameamua kuachana na uigizaji baada ya kubainika kuwa na ugonjwa wa aphasia.
Aphasia ni hali inayozuia mtu kuzungumza na kuandika. Mara nyingi ugonjwa huu husababishwa na uharibifu wa upande wa kushoto wa Ubongo.
Taarifa za kustaafu kwake zilichapishwa kwenye instagram kupitia akaunti za mke wa Emmy Willis pamoja na mke wake wa zamani Demi Moore.
Ni filamu gani ya Bruce Willis unaikubali sana ?
View attachment 2171345
Miongon mwa movie yangu bora kabsa hii.TEARS OF THE SUN
Mle kaupiga mwingi sana