Bsc applied statistics

Bsc applied statistics

didii

Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
74
Reaction score
5
Naomba mnisaidie natafuta kazi nina bsc applied statistics.nina ujuzi wa kutumia statistical packages spss na stata.
 
Nimegraduate mzumbe university mwaka huu
 
amekwambia amegraduate ths year halaf unaulza xperienc,mbn mnakua hamna mawazo chanya!
 
Its gud proffession na kwa sasa serikalini kuna kazi nyingi sana za watakwimu kwenye idara za Mipango na ICT ila tatizo ni mfumo wa sasa ajira zote kupitia tume imekuwa ishu kupata nafasi. Ila kama unayo Transcript apply sehemu mbalimbali serikalini au kwenye mabenki pia apply nafasi za Risk and Complince
 
nashukuru kwa ushauri mzuri,ntaufanyia kazi
 
me nataka mtu mwe experience.

we senator,acha kumzuga mwenzio,we mwenyewe ndo kwanza umefanya supp juz,subir majibu yako kama hawajakula kichwa uendelee na mwaka wa pili
 
we senator,acha kumzuga mwenzio,we mwenyewe ndo kwanza umefanya supp juz,subir majibu yako kama hawajakula kichwa uendelee na mwaka wa pili

namchalenge 2 huyu ndugu yangu bana,afu me ni 3rd yr co 2nd yr mkuu.
 
omba ku-volunteer kwenye research institutes
with experience na hizo packages mambo yatatiki
 
Pia ukiona nafasi za Monitoring and Evaluation (M&E) famous sana kwenye NGOs omba as wanawatumia sana statisticians.
 
omba ku-volunteer kwenye research institutes
with experience na hizo packages mambo yatatiki

nimeshatuma maombi NIMRI,IHI na NACOPHA naomba unisaidie kama unafahamu research institutes nyingine tofauti na hizo
 
Back
Top Bottom