BSc Applied Zoology, wadau nina dili hapa?

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
3,544
Reaction score
2,169
Jamani eehhh nimechaguliwa hiyo maneno wakuu sana jeeehh nina dili TZ? Msaada tafadhari......
 
Jamani eehhh nimechaguliwa hiyo maneno wakuu sana jeeehh nina dili TZ? Msaada tafadhari......

Kwani unasoma ili upate kazi au uongeze maarifa dogo? Ukiwaza kuajiriwa utakufa na umaskini. Maliza chuo ukafuge ng'ombe wa maziwa ndio dili yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…