Anyway kwa kufuata nn mdogo wangu anategemea kukipata ngoja nimpe dondoo za chemistry...
Kwanza na declare interest i am chemist by professional... Sehemu unazoweza fanya kazi kama mkemia
Serikalini
Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
Tpri arusha- taasis ya udhibiti wa matumizi ya pesticides
Tbs- taasis ya ubora
Tdma
Nimr
Wizara ya kilimo na ufugaji
Wizara ya afya
Vyuo vyote vikuu kama lab techinician
Taec- watu wa maswala ya mionzi
Tpdc
Ewura
Wizara ya maji
osha
Na kadharika hzo zote mshahara wako unaanza 1mil bila allowance
Private
Kiwanda chochote kila kinachojihusisha na chemical treatment...au chemical processing ujue unafit vzur
Kiwanda cha dawa,vyakula,vinywaji,petroleum,
Hapo ukipata viwanda vya wazungu una 1mil+
Ukipata l
Kwa wahindi mwendo wa 500+
Kukosa ajira kwa wakemia kunachangiwa na uzembe wako
Ss ni class 2015..nusu ya darasa wapo serikalin.;, others wapo private wasio na ajira ni wawili tu tena ni kutokana na termination ya mikataba yao juzijuzi tu wengne wako na kampuni zao...ila mostly important soma unachohisi utakuwa comfortable kufanya