salum evarist
Member
- Sep 3, 2014
- 7
- 2
plz kwa anaeifahamu vzuri hii course anifafanulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Degree ya mapanga na mashoka
nadhani SUA, aisee ni course nzuri mno achana na hao hawajui kitu. ukipata ajira hasa kwenye plantation forest unakula shavu la maana hao wanaosoma kozi za kupaka rangi kucha wackuxumbue. yaan wizara ya maliasili na utalii ajira zake ni shida kiasi ila zinalipa just imagine Selous game reserve mwenye certfcate anakula per DM laki 5 kwa mwezi sembuse degree.
Degree ya mapanga na mashoka
mavi yako...per diem laki 5 kwa mwezi ndio nini?