jamani jamani, mtu ana Bsc bado anataka au hajui vitu kama JF, brightermonday, radarrecruitment, tiptop, tzonline nk. Hebu jamani oneni wasomi wetu wanavyopoteza mwelekeo, wanakalia kupiga soga tu, they tend to prentend they are serious with study kumbe wanatongozana tu. Anyway tumsaidie, lakini najisikia vibaya kumsaidia mtu ambaye tayari anarungu mkononi. Nitamsaidia, anitumie PM.