BSc. in Applied Zoology

Joined
Jul 8, 2014
Posts
74
Reaction score
7
jaman bachelor of science in applied zoology ajira zake niwapi hasa? je, mtu anaweza kuajiliwa serikalin au lah?
 
Wakati unajaza hiyo kozi ulituomba ushauri????? Anyway ngoja wadau wa CoNas waje wadadavue
 
jaman bachelor of science in applied zoology ajira zake niwapi hasa? je, mtu anaweza kuajiliwa serikalin au lah?

hayo utajua ukimaliza wanaweza wasiajiri mwaka huu wakaajiri unaofuata kugeneralize nikubaya
 
asee natafuta mtu WA kunibeba...vp ushapata mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…